mkuu nimecheka kitu kimoja,anaedai haki hafanyi kama ww. We mwalim gani eti unaomba ulipiwe nauli tena ya kwenda dodoma?oh cwt tulipieni mabasi mh kwanini usitumie kidogo ulichonacho kutaftia haki yako? Manake cwt wasipoleta mabasi haki yako hudai tena? Hapo tu nshajua hujitambui kaa kimya tu
Ndo waoga wenyewe hao wanajishaua tu humu.