Walimu tafadhali soma na usipuuze

Walimu tafadhali soma na usipuuze

Usipopigania haki yako mwenyewe hakuna ambaye atahangaika na wewe. Ndugu walimu wenzangu hasa vijana maana wazee hawawezi kutuunga mkono wengi wao age yao ni 50 na kuendelea tgts zao ni e.

Tukutane bungeni hapo tarehe 29 walimu wote vijana na cwt wadhamini magari ya usafiri kutoka wilayani tukadai haki zetu dom. Hii serikali inabeep kwetu na ndo maana imetoa mishahara kwa baadhi ya walimu. Kenya wameweza hata tz walimu vijana tunaweza tupiganie haki zetu bila kumsubiri mkoba, ccm wala cdm maana wanaelewa matatizo yetu miaka yote lakini hakuna anaeonesha kushitushwa.

Shime cwt tulipieni mabasi kutoka kila pembe ya tz ili walimu vijana tukalete mabadiliko ktk hii nchi. Cwt kwa mwezi mnatuka hela walimu wote mamia ya mamilion ambayo mwal4mu hana hata chembe ya manufaa, onesheni ushirikiano wenu.
Walimu gani unaowaitisha kuandamana? Hawa hawa Wa crash programme? Hilo hamwezi kufanikiwa! Eti walimu vijana, hawa hawa wavaa mitepesho a.k.a Kata K = Kata Ku.ndu? Kamwe hamtafanikiwa!! Hakuna vijana waoga kama hawa Wa Tz, bora ungesema tu walimu kwa ujumla bila kubagua eti walimu vijana!

PUMBAAAAAAAA!!!
 
Ahaa Mpwago yuko Mtr anapatikana sana pale nyuma ya Chico Inn karibu na mahakama ya mwanzo iliyoharibiwa na vurugu, Huyo demu anaitwa Salma nasikia yuko Dsm, hao wengine sijafahamu waliko. Mi nimemaliza na kina Fanikio chijinga, Isa Husein, Christopher Mapunda, Siraji Nalikane,Haji Mtepa aka Pasha, Rehema Ally, Rahim, Mkhama charles, Prosper Eriyo, Mohamed Chitope kwa uchache wake ni hao.
Chris mapunda dogo flani hivi alikuaga mtamu sana kwenye soka,fanikia chijinga ni street mate huyu dogo enzi hizo we used to live nyumba za kota kiyangu,pasha ametoka mbali sana tangu anaimba kwenye femina club kiskuli skuli daah...back in those days so funny.
 
TAARIFA MAALUM KWA WATUMISHI WA UMMA:Nyongeza uliyoikuta kwenye mshahara wako ni MKONO WA IDD uliotolewa na Mh.Rais Jakaya Kikwete kwa watumishi wa umma,na SI NYONGEZA YA MSHAHARA MPYA.Rais pia ametoa mkono wa Idd kwa watu mbalimbali wakiwemo watoto na wazee walio katika vituo vya kuwalelea.RAIS KIKWETE OYEE! Tunawatakia IDD EL FITR NJEMA na uvumilivu wa kusubiri mshahara mpya utakaotoka mwezi ujao wa Agosti.
 
Chris mapunda dogo flani hivi alikuaga mtamu sana kwenye soka,fanikia chijinga ni street mate huyu dogo enzi hizo we used to live nyumba za kota kiyangu,pasha ametoka mbali sana tangu anaimba kwenye femina club kiskuli skuli daah...back in those days so funny.

Haha haaa days went off!! Hakika mambo yalikuwa yanafurahisha, unakumbuka madishi ya canteen kule na ubwabwa na ugali maharage na nyama kwa siku kadhaa teh teh
Christopher Mapunda yuko IFM anatarajia kugraduate mwaka unaokuja wa masomo.
 
Sina mashaka kwamba hisabati za juu kabisa[advanced pure mathematics] ulipata A.

Uko vizuri,ulivyo derive hiyo integral hadi kufikia jibu umetisha..

Sina mashaka kwamba utakua mkufunzi wa hesabu vyuo vikubwa kabisa duniani kama MMU.

umenigusa hapo kwenye MMU,ila chamsingi kuiondoa ccm mwakani, mi sikuhizi nikienda class wanafunz nawafundisha historia tu km vile pai aliegundua nan badala ya kuwashushia hesabu nishachoka kutumika kama kondom
 
hahahaaa kwa hiyo nijilazimishe kupenda upendacho hata kama sikipendi ili wewe uone kuwa ninaakili??mpuuzi wahed.
aise we c bure una tatizo
kwenye ubongo wako cjui hao watoto unafundishaje?au wanaiga nn kutoka
kwako?ww c bure unawezekana mume wako ni mtendaji wakijiji chako
unakofundishia,sbb hao watendaji kwnye vijiji vyenu vya ccm oyeee ni
miungu watu.pole sna kwa ufinyo wa fikra.ccm oyeee
 
Back
Top Bottom