mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,567
- 6,409
Natumai mko salama wanajamvi..
Napenda kuuliza hivi walimu na madaktari waliokuwa wanagoma kwa kudai masilahi ya kazi zao season ya 4 (KIKWETE) wamepotelea wapi au wameshawekewa sawa masilahi yao ndo maana season ya 5(MAGUFULI) hawajaendelea kuyadai??!!
Pia hawa ndugu zangu wanafunzi wa vyuo vikuu siwasikii tena wakiendesha movement zao ama nao wameboreshewa huduma??
Naomba kuwasilisha kwa anaejua maboresho ya masilahi ya walengwa tajwa hapo juu.