Walimu mnaolalamika kuhusu CWT

Walimu mnaolalamika kuhusu CWT

Tatzo sehemu zingine walimu wanaingizwa bila hiari yao, wanashangaa tu makato yameanza. Hii tabia si nzuri na haipendezi mtu kulazimishwa kuingia kwenye chama chochote sasa iweje CWT iwe ni lazima
 
hivi bado hamjagundua, namna yakujilipa hizo hela wanazodhulumu? amkeni akili ni nywele
 
Back
Top Bottom