hu ni ukurasa mmmmmapyaaaaaaaa,maticha mbere kwa mbele,kusaga chaki mwisho,2tatumia marker pen 2,kudadadeki msione dole na bado serikali inaongeza mkwanja,,uuuwiiiiiiiiiiii otatateneoooooooowe unamuamini mjinga?kwani hlo swala wameanza kuliongelea leo.hata wahubiri wanatwambia yesu yu karibu kurudi.achana na ----- huyo.
hu ni ukurasa mmmmmapyaaaaaaaa,maticha mbere kwa mbele,kusaga chaki mwisho,2tatumia marker pen 2,kudadadeki msione dole na bado serikali inaongeza mkwanja,,uuuwiiiiiiiiiiii otatateneoooooooo
Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.
Mzee! fafanua mheshimiwa hii ya "wote ni failure"Waalimu hawa wa Tanzania ama? Sidhani kama wana deserve, wote ni Failure.
katibu wenu cwt kasema bank ipo mbioni kufunguliwa,mtauziwa hisa,mtapewa mikopo ya bei nafuu,mtajengewa nyumba,yan mtapata raha hainahaja ya kudai ongezeko la mshahara
anaongea kinouma hata haeleweki,
eti we mwalimu ni failure?