mandela1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 837
- 602
Punguzeni makali ya maneno wakuu njaa mbayaKujitambulisha kuwa ni mwalimu siku hizi si fahari sana ni aibu,bora ujitambulishe mkulima
Punguzeni makali ya maneno wakuu njaa mbayaKujitambulisha kuwa ni mwalimu siku hizi si fahari sana ni aibu,bora ujitambulishe mkulima
Umeongea ovyoo ....afu mungu umemuingiza kwenye utopolo sikuafiki hata kidogoKuna mwalimu alinikanyaga bahati mbaya bar nilimsukuma vibaya Sana akadondoka chini haikuwa dhamira yangu ila hasira zilinipanda baada ya kukumbuka uchaguzi pia nimepa notice waondoke kwangu nataka kuuza nyumba yangu hivyo nairekebisha kumbe ni ili yaondoke. Ni mapangaji yangu. Msimu huu wa mvua nawamwagia matope makusudi na gari Mungu anisamehe.
Na ndio hao waliokufundisha kusoma kuandika na kuhesabu! acha dharau zakoNdiyo maana waliokuwa wanaingia ualimu walikuwa failures - wengi wao Division 4.
Huwezi kujua kwa vile hayakuhusu! Umewahi kumwona mwalimu kaja na familia yake hapo kwako?Bora hata hao maaskari kwa utawala huu wamepata motisha wanapewa posho ya kutosha na pesa za fidia ya vinywaji kwa mwezi anaingiza laki nne isiyokuwa na makato na nje ya mshaara,sasa hao walimu wana motisha gani ya kujitoa ufahamu?
Kama ni choka mbaya, msingefungua vibanda vyenu na kuanzisha ma-centre ya kufundishia!!Ukikutana na mtu akakwambia ye ni mwalimu mwangalie mara mbili mbili. Walimu ni choka mbaya
Shukrani ya punda n mateke . Waache vijana wafunguke c waalimu ndo wanapiga kuraaNa ndio hao waliokufundisha kusoma kuandika na kuhesabu! acha dharau zako
We unagongwa wewe. ulitakaje?Ule msemo wa msikini haaminiki ndio uliojidhirisha katika hiki kipindi.
Kitendo cha walimu kujitokeza kwa wingi kuomba kazi za kusimamia uchaguzi wakati wakijua hali ya kidemokrasia nchini haipo fair na ya kidhalimu, kimedhihilisha kuwa umasikini upelekea mtu kuwa mjinga.
Haya sasa walimu mmevuna mlichopanda mmejipeleka kufanya hiyo kazi pamoja kutangazwa dau dogo (elfu 30 kwa 35 kwa siku ×2 60/70) mkatii maagizo kutoka juu mkafanya mlio yafanya. Hii kazi ina laana sio bure.
Huo uwezo wa kuandika "these people......" uliupatia chumbani kwa mamako?Kumbe ni 70,000 kwa siku mbili?
What a shame aisee!
The whole country is poor,these people are really poor..I cant blame them kwakweli!
Hii country tunarudi kwenye poverty kwa mwendo wa hatari sana
Hizi akili au bange?Kuna mwalimu alinikanyaga bahati mbaya bar nilimsukuma vibaya Sana akadondoka chini haikuwa dhamira yangu ila hasira zilinipanda baada ya kukumbuka uchaguzi pia nimepa notice waondoke kwangu nataka kuuza nyumba yangu hivyo nairekebisha kumbe ni ili yaondoke. Ni mapangaji yangu. Msimu huu wa mvua nawamwagia matope makusudi na gari Mungu anisamehe.
Usiwalaum mkuu penye njaa hakunaga umoja ni sawa tu.
Sasa umeumia wao kupewa bonus au kwa vile wewe ulikosa? Tatizo lako na wengine kama wewe ni kuacha uchaguliwe viongozi!!Inabidi uelewe jomba,kwenye tangazo la kazi iliandikwa hiyo pesa, hizo nyingine walizopewa ni bonasi baada kufanya kazi nzuri waliyoelekezwa.
Kujitambulisha kuwa ni mwalimu siku hizi si fahari sana ni aibu,bora ujitambulishe mkulima

Tangazo lilisema watalipwa sh.30,000/= (Makarani na Wasimamizi wasaidizi wa vituo) na sh.35,000/=(Wasimamizi Wakuu wa vituo) kwa siku 1,semina sh.30,000/= kila mtu kwa kila siku 1 ya kazi . Kusema kweli iliyoandikwa ilikuwa pesa ndogo sana na iliandikwa hivyo ili kuwakatisha tamaa watu wengi wasiombe kazi hiyo.Inabidi uelewe jomba,kwenye tangazo la kazi iliandikwa hiyo pesa, hizo nyingine walizopewa ni bonasi baada kufanya kazi nzuri waliyoelekezwa.
Nakuunga mkono mkuuKuna mwalimu alinikanyaga bahati mbaya bar nilimsukuma vibaya Sana akadondoka chini haikuwa dhamira yangu ila hasira zilinipanda baada ya kukumbuka uchaguzi pia nimepa notice waondoke kwangu nataka kuuza nyumba yangu hivyo nairekebisha kumbe ni ili yaondoke. Ni mapangaji yangu. Msimu huu wa mvua nawamwagia matope makusudi na gari Mungu anisamehe.
Msingejitokeza kufanya hiyo kazi huku mkijua hali ilivyo,kipi kizuri kilicho wasukuma kufanya hiyo kazi? Jiheshimuni hata kama mna njaa msijioneshe kwa watu.We unagongwa wewe. ulitakaje?
Mimi ninacholaumu kujitokeza kushiriki kazi ambayo ni haramu wakati walijua kabisa kwa wakati huu lazima uchaguzi uwe haramu,shida watu tunazo na haziwezi kumalizwa na hiyo hela uloitaja. Huo ni sawa na ujambazi au kupata kipato isivyo halali. Kwa hiyo mnyororo wa dhambi hauwezi kuwaacha nyuma walimu ambao ndo walikuwa watendaji wa chini kabisa. Watu wapenda haki hatujitokeza kushiri suala maana dalili zilionekana dhahiri tangu mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo. Kuna jamaa yangu mwaka jana alipata nafasi ya kusimamia uchaguzi mwaka jana akawa anaelekezwa kufanya huo uharamia alitii lakini roho ilimuuma sana akaapa na kusema haitatokea afanye hiyo kazi tena,, huo ndo uungwana.Tangazo lilisema watalipwa sh.30,000/= (Makarani na Wasimamizi wasaidizi wa vituo) na sh.35,000/=(Wasimamizi Wakuu wa vituo) kwa siku 1,semina sh.30,000/= kila mtu kwa kila siku 1 ya kazi . Kusema kweli iliyoandikwa ilikuwa pesa ndogo sana na iliandikwa hivyo ili kuwakatisha tamaa watu wengi wasiombe kazi hiyo.
Ila kusema kweli jamaa walilipwa kati ya sh.290,000/= (Wasimamizi Wasaidizi) na sh.360,000/= (Wasimamizi Wakuu) kwa hizo siku 2 za kazi. Na 70% ya pesa hiyo walilipwa kabla ya kazi na ile 30% wakamaliziwa kesho yake. Wewe hiyo pesa ulikuwa huitaki?
Halafu suala la dola kufanya udanganyifu kwenye Uchaguzi hata wewe ungekuwa ndo unasimamia Uchaguzi kwenye kituo usingeweza kulizuia.Zuia uhatarishe maisha yako.Wewe ungeweza? Note:Kwa kusema hivi simaanishi kwamba naunga mkono 'ujambazi' uliofanyika.
Kama unadhani wewe ungeweza kuzuia wizi wa kura, kwanini hukushiriki kulinda kura hizo ili zisiibiwe na badala yake ukakaa mita 45,000 kutoka kituo cha kupigia kura (ilhali Upinzani ulikuwa unahamasisha wananchi wakalinde kura) ? Wewe pia unapaswa ulaumiwe kwa hili.
Pia,kwanini hukujitokeza kuandamana kupinga matokeo pale Viongozi wa Chadema walipohamasisha maandamano? Hapa napo huwezi kukwepa lawama.
Mwisho kabisa:Ishu hapa ni kwamba "the deep state" au the "bad boys" au "kitengo" walikuwa wamedhamiria kufanya ujambazi huo kiasi kwamba HAO WALIMU UNAWALAUMU BURE, NA HATA WEWE HUNGEWEZA KUWAZUIA "WASIOJULIKANA" KUFANYA YAO.
OK.Nilikuwa sijakuelewa ila sasa nimekuelewa mkuu.Mimi ninacholaumu kujitokeza kushiriki kazi ambayo ni haramu wakati walijua kabisa kwa wakati huu lazima uchaguzi uwe haramu,shida watu tunazo na haziwezi kumalizwa na hiyo hela uloitaja. Huo ni sawa na ujambazi au kupata kipato isivyo halali. Kwa hiyo mnyororo wa dhambi hauwezi kuwaacha nyuma walimu ambao ndo walikuwa watendaji wa chini kabisa. Watu wapenda haki hatujitokeza kushiri suala maana dalili zilionekana dhahiri tangu mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo. Kuna jamaa yangu mwaka jana alipata nafasi ya kusimamia uchaguzi mwaka jana akawa anaelekezwa kufanya huo uharamia alitii lakini roho ilimuuma sana akaapa na kusema haitatokea afanye hiyo kazi tena,, huo ndo uungwana.
Pamoja mkuu.OK.Nilikuwa sijakuelewa ila sasa nimekuelewa mkuu.
Mkuu, dau halikuwa dogo kwa kiasi hicho kilichotangazwa. Naogopa kuweka wazi maana chuki inaweza kuongezeka zaidi, ila ni zaidi ya 300k kwa siku zote nne za semina plus usimamiziHaya sasa walimu mmevuna mlichopanda mmejipeleka kufanya hiyo kazi pamoja kutangazwa dau dogo (elfu 30 kwa 35 kwa siku ×2 60/70) mkatii maagizo kutoka juu mkafanya mlio yafanya. Hii kazi ina laana sio bure.