Walimu mkoa wa Morogoro tuna dukuduku; Tunadai posho ya kusahihisha mitihani ya 'Mock' tokea mwezi wa 6

Siku zote huwa najiuliza kwa nini mnasahisha mitihani kwa pesa? Hilo ni jukumu lenu kulingana na taaluma yenu. Kwa hiyo wanajeshi au polisi wakitaka wasafishe bunduki nao wadai kulipwa?
Acheni ujinga fanyeni bure hilo ni jukumu lenu mnatakiwa kulipenda.
Mkuu uwe unaenda na wewe hata kupanga matokeo uone huo mtiti
 
Siku zote huwa najiuliza kwa nini mnasahisha mitihani kwa pesa? Hilo ni jukumu lenu kulingana na taaluma yenu. Kwa hiyo wanajeshi au polisi wakitaka wasafishe bunduki nao wadai kulipwa?
Acheni ujinga fanyeni bure hilo ni jukumu lenu mnatakiwa kulipenda.

You are an imbecile. Kama hujui kitu ni heri ukauliza au ukakaa kimya. Unatarajia mwalimu atumie mshahara wake kwenda nje ya kituo chake cha kazi kusahihisha mitihani? Are you nuts?
 
Siku zote huwa najiuliza kwa nini mnasahisha mitihani kwa pesa? Hilo ni jukumu lenu kulingana na taaluma yenu. Kwa hiyo wanajeshi au polisi wakitaka wasafishe bunduki nao wadai kulipwa?
Acheni ujinga fanyeni bure hilo ni jukumu lenu mnatakiwa kulipenda.
Wewe inaonyesha utakuwa kiongozi wa huko kwa elimu japo hauna elimu ya HR. Tangu lini mwalimu ukamtoa Kisaki umpeleka Kilombero akasahihishe alafu useme ni kazi yake bila malipo? wewe unaweza kwenda kufanya kazi nje ya kituo bila malipo? wacheni ujinga wa kuwaonea walimu. Eti unakuta mwalimu analipwa Per diem elfu 20. Wakati wewe unayejifanya ni kazi yake unajilipa laki 1,kwa siku. Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom