Janualy ni National pay day kwa watumishi wote wa serikali na sio walimu peke yao, naunga mkono kwa 100% zoezi hili. lengo ni kubaini mishahara hewa kwa watumishi wote wa serikali.
Hakuna jipya story za kila siku zisizo na tija!
Waanze kuhakiki mikataba ya madini, mikataba ya makampuni mbalimbali kama IPTL, SONGAS ndo waje kwenye hili!
Nataka wanaJF mtambue kuwa uhakiki huu unahusu sekta zote za umma. Kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba watumishi watapewa HUNDI baada ya mtumishi kuwasilisha (yeye mwenyewe na si kutuma mtu) vitu vifuatavyo:-
I. Kitambulisho cha kazi chenye picha.
II. Salary slip za hivi karibuni.
Kadhalika watumishi waliopo masomoni na wagonjwa wa muda muda mrefu wapewe taarifa ili wawepo siku hiyo. Ambaye hatakuwepo atahesabika kuwa ni mtumishi hewa na hundi yake itarudishwa hazina na yeye kufutwa.
Toka wameanza kufanya hivyo wameshawagundua wangapi? Na wamewafanya nini?
Na mbona wameshindwa kulikomesha hadi leo?
Je, kwa akili yako unadhani hyo hela ya wafanyakazi hewa inaliwa na nani siku zote?
Usumbufu tu, wezi wa hzo hela hewa mbona wanajulikana.
Hata wafanye nini, badi wataendelea kuwepo na pengine wataaongezeka.
The whole Tanzania system is corrupt.
Mimi sio kiongozi wa chama cha kisiasa kuchallenge kila kitu, kwangu mimi hili ni zoezi sahihi, na niko pamoja na serikali kwenye hili. Nukta.
yani njia ya kuhakiki walimu hewa ni kulipia dirishani??? Kweli akili za kawambwa hazichanganyiki kabisa na akili za dilunga.
Hii ndo njia ya kutafuna mihela sasa. Ukata huu wa january, wazee wa kazi watawaacha wakizibeba hizo hela kwenda nazo halmashauri? Na wilaya zisizo na bank kama makambako inakuaje!
Mimi sio kiongozi wa chama cha kisiasa kuchallenge kila kitu, kwangu mimi hili ni zoezi sahihi, na niko pamoja na serikali kwenye hili. Nukta.
ahsante kwa taarifa sahihi mkuu, ngoja nivute vute kidogo hadi tarehe 20 ndio nielekee hukoNataka wanaJF mtambue kuwa uhakiki huu unahusu sekta zote za umma. Kwa taarifa nilizo nazo ni kwamba watumishi watapewa HUNDI baada ya mtumishi kuwasilisha (yeye mwenyewe na si kutuma mtu) vitu vifuatavyo:-
I. Kitambulisho cha kazi chenye picha.
II. Salary slip za hivi karibuni.
Kadhalika watumishi waliopo masomoni na wagonjwa wa muda muda mrefu wapewe taarifa ili wawepo siku hiyo. Ambaye hatakuwepo atahesabika kuwa ni mtumishi hewa na hundi yake itarudishwa hazina na yeye kufutwa.
Idea nzuri sana kwa sisi vigogo kupata fursa ya kujichagulia nyumba ndogo
kaka zoezi hili limekaa kisanii zaidi. Si ajabu ukasikia hundi zitakazotolewa zitakuwa hazina fedha benki. Serikali ya Kikwete imefilisika!haina fedha. Hizi zote ni mbinu za serikali mufsili kubuy time ili kustage usanii zaidi. Hakuna uhakiki hapo!