The next JPM
Member
- Feb 22, 2023
- 22
- 46
Habari Wana Jf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya,
Pasi na kupoteza muda niende kwenye lengo la Uzi huu.
Wana Jf Mimi naona ni Wakati sahihi sasa serikali itoe ruhusa kwa walimu waanze kuajiriwa kwenye nafasi zifuatazo;
@ ustawi wa Jamii
@ uafisa utendaji
@ idara ya nida na tasaf
Kiufup Kuna baadhi ya kazi walimu wanafit kikamilifu inje ya taaluma yao
Pia hizo fani nashauri zingefutwa kabisa na kuacha kutolewa kwenye vyuo hapa inchini, ili kutoa nafas Kwa walimu ku cover sehemu izo.