Walimu: Kitaeleweka tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu: Kitaeleweka tu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Crashwise, Aug 3, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  walimu.jpg Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Misewe, Tabata, Dar es Salaam ambaye hakutaka kutaja jina lake akiandika Hisabati na ujumbe ubaoni unaosomeka ‘Kitaeleweka tu, mkitulazimisha kuingia madarasani itakuwa hivyo’ jana, ikiwa ni mwendelezo wa mgomo wa walimu kuishinikiza Serikali kushughulikia madai yao mbalimbali.
  Mahakama imewaamuru kurudi kazini
   
 2. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Liwe na liwalo
   
 3. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Hili ni Somo la Hesabati sio Hesabu? Kitaeleweka tu kwani 1+3=13 23-3=7 3x3= 333 Hahahah hizi hesabu za kichina??????????????? Crashwise
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii nimeipenda na ndio itakuwa hivyo.
   
 6. S

  Short white Senior Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sisi wenye watoto shule za kata tumeliwa kavukavu!
   
 7. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mimi siwapingi ila hofu yangu mtayafanya hayo kwa watoto wa nani, wa magamba au wa sisi walala hoi? Kwanini chama cha CWT kisiongee na chama wa walimu huko wanakosomea watoto wa magamba (popote duniani) ili CWT ya huko ndiyo iwafanyie hivyo watoto wote wa magamba.
   
Loading...