Walimu karibu wote uwezo mdogo

Walimu karibu wote uwezo mdogo

Hilo halina ubishi. Walimu wa siku hizi wengi ni vilaza, they have poor reasoning capacity na wako shallow sana karibu kila nyanja.
Katika kada ambayo watu wake hawajiamini basi ni walimu si ke wala me!
Unakuta ni Mwalimu wa lugha lakini hajui hata kuunganisha sentesi!?

Jiongezeni walimu, sio kubweteka tu eti kisa ajira zenu ni zina security ya kutosha
 
Ndio maana product ya siku hizi ni watoto wasiojua kusoma na kuandika
 
Duh kwa hiyo hawa wenye akili na uwezo mkubwa walifundishwa na wenye uwezo mdogo(vilaza) hapa nashindwa hata niunganishe vipi hii logic ya kilaza kumfundisha mtu mpaka akawa bright.
 
Kigezo cha wengi kwenda ualimu kwa uchovu kiuchumi hicho nakubaliana nacho,ila kwenye ufaulu hapo kafanye utafiti vizuri mkuu
 
TEACOLTD Kwanza hongera kwa kuwa na ujasiri wa kuleta uzi huu maana sio viongozi wanaoongoza/simamia sekta ya elimu wala serikali kuu ilishawahi kukiri kuwa tuna tatizo la walimu wenye uweledi na kuwa na mkakati makhsusi wa kulitatua tatizo hilo.

Kimsingi yote uliosema ni kweli though naona Kuna simbilisi wanao comment kwa hoja zisizo na mashiko na nadhani ni kwasababu tu na wenyewe ama ndugu zao wamenufaika na huo mfumo ambao umetufikisha hapa kitaaluma.

Pili ualimu kama ilivyo kazi nyingine kama upolisi, jeshi hazichukuliwi serious na ndio imepelekea watu kuona hizi ni kazi za watu waliofeli, au kupata ufaulu duni hizi ndio kimbilio lao (kwa walimu wadau wameonyesha ufaulu na wako wanasoma wapi) Tatizo hili linaanzia primary huko ni zaidi ya time bomb watoto wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika but education system haijali, serikali ina focus kwenye enrolments, utawasikia tumevuka lengo la kuandikisha kwa 85% but does it make sense anyway! If at all these students finish std 7 and can't read and write! In 7yrs neither teachers themselves nor wasimamizi wa elimu has clue on what is going on! Halafu eti baada ya matokeo ya mitihani unakuja kutuambia watoto wameandika kat uni! !!!!!!

Hawa walimu wa shule za msingi hawawezi hata kufaulu ule mitihani wa darasa la saba kama ukiwapa wafanye sasa wanamfundisha nani? Hivyo Hivyo secondary wachukue walimu wa O-level wafanye mitihani wa kidato cha pili uone matokeo yake .

Elimu ni sekta ambayo inaelekea kuzimu TZ na si kwa bahati mbaya lakini ni matokeo ya makusudi ya serikali. Huwezi kuwa na serikali dhalimu iliyokosa hata haya , kama mtakumbuka awamu ya 4 pale watoto 60% walipofeli baada ya ku-acknowledge tatizo na kutafuta ufumbuzi serikali hatua iliyochukua ni ku-standardise matokeo ili tu kuwafool watanzania. Na IJULIKANE ni hao hao failures ndio waliobadilishiwa ufaulu na hatimae kuendelea na masoma na Leo/kesho ndio walimu so obvious mjinga atamfundisha mjinga mwenzake and we all know what will be the outcome!.

Leo mijadala mingi inajadili uwezo wa graduates wa Kitanzania(not only teachers) Kwamba hawana uwezo hata wa kujieleza wachilia mbali uwezo wa ku-deliver katika shughuli zao, the reasons ni kwamba Hawa si wengine ila ni matokeo ya huu huu uozo ambao for years umekua ukiendelea.

Ikumbukwe every child/person has the capacity to learn be it quicker or slow leaner it doesn't matter but it's upon the teacher to be able to;
1. Understand what he/she is supposed to teach (be conversant on the subject matter)
2. Be able to navigate that the class understand what he/she is teaching (teach-measure and evaluate)
3. Be warm, accessible enthusiastic and caring as it will open the desire for the students to ask where they don't understand
4. Set high expectations for all students
5. Inspire the students with his/her passion for education and for the course materials and constantly renews herself/himself as a professional on his/her quest in provide students with the highest quality education possible
6. Be able to "shift gear" -flexibility when a lesson isn't working. This kind of a teacher assesses his/her teaching throughout the lessons and finds new ways to present materials to make sure that every student understands the key concepts.

Mwisho serikali kupitia wizara husika andaeni walimu wenye sifa na sio utaratibu wa sasa wa mikakati zima moto. Let's be serious and select well qualified students for teaching career na sio failures ndo wanao kwenda ualimu na baadae kuja kufundisha watoto kwa level zote
Umeandika ujinga mtupu huyo aliyekuambia matatizo ya elimu ni walimu ni nani? hujui chochote kuhusu elimu ya tanzania. Nitajie kada ambayo haina watu wacheti waliojiunga wakiwa na elimu ya kidato cha nne
 
Mkuu naona umekomaaa kinyama ingia tovuti ya udsm download majina ya waliochaguliwa 2015-2016 kama utakuta kuna anayesoma ualimu hana division 1,,,, bila division 1 huon mlango wa nkurumah
Si kweli!!! Kuna watu nawajua wana 2 na 3 wapo hapo!!!
 
Acha uongo uliokubuhu kuna watu wana division 2 na 3 walichukua education bachelor pale udsm na ninawajua..... Ila pole naona uzi umekukwaza
Mkuu katika ngazi ya cheti ni kada gani ambayo inachukua ufaulu mkubwa kuliko zote....tuanzie hapo kwanza
 
Habari wanajamvi?

Ashakum sio matusi ila leo nimeamua kuleta mada hii baada ya kufanyia utafiti binafsi kwa muda hivi.Kwanza nilianza kuambiwa na rafiki yangu enzi hizo 2012 pale UDBS kwamba asilimia kubwa kama sio wote waalimu uwezo wao ni mdogo upstairs nikakataa akanitaka nifanye utafiti binafsi.

- Walimu wengi kama sio wote hawakupenda kuwa waalimu ila ufaulu wao ndio ulipelekea wakose option na kujikuta kwa shingo upande wanadumbukia kwenye fani ya ualimu bila kupenda.

-Asilimia kubwa ya walimu hawakupenda kwenda ualimu ila ukiachilia mbali ufaulu kuwa hafifu pia urahisi wa kuajiriwa, hii inatokana na ajira kuwa ngumu hivyo wengi kukimbilia ualimu ili kutatua matatizo yao ya ajira.

-Uchumi mbovu umepelekea wengi kuishia kuwa waalimu, hapa nina maana zile familia ambazo hazina uwezo wa kumlipia mwanafunzi kusoma kitu anachokipenda hivyo kujikuta akisoma ualimu ili apate ufadhili wa serikali.

Naomba nisieleweke vibaya ila jaribu kufuatilia kwa umakini uje unaimbie mwanafunzi aliyepata division one nzuri kabisa akawa mwalimu, asilimia kubwa ya waalimu ni waliosoma arts au biashara kwakuwa wengi matokeo yao hayakuridhisha hatimaye option pekee ikawa ualimu.

Waalimu wengi wa science walifeli hapa naomba uniletee mwalimu ambaye ama alisoma PCM, PCB, PGM n.k akapata divion one au two akaenda kusoma ualimu? Wanaokuwa waalimu wengi huangukia kwenye point ya ufaulu mbovu darasani na ni wachache sana huangukia kuwa waalimu sababu ya uchumi wa familia ila wengi saaana walifeli.

Hata kama walijiendeleza na kuwa na masters still ukirudi nyuma utakuwa wengi walifeli, ndio maana nikasema asilimia kubwa kama sio wote uwezo wao ni mdogo.
Nijibu hili swali kwanza..katika ngazi ya cheti ni kada gani inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote...tuanzie discussion yetu hapo
 
kwa staili hii bongo hatuwezi endelea ni vyema tufikirie kwa kina kabla ya kutupia post zetu. so ina maana kufaulu ni div 1 tu na wengine wa two na three ni vilaza?
 
Hilo halina ubishi. Walimu wa siku hizi wengi ni vilaza, they have poor reasoning capacity na wako shallow sana karibu kila nyanja.
Katika kada ambayo watu wake hawajiamini basi ni walimu si ke wala me!
Unakuta ni Mwalimu wa lugha lakini hajui hata kuunganisha sentesi!?

Jiongezeni walimu, sio kubweteka tu eti kisa ajira zenu ni zina security ya kutosha
Mkuu tuanzie ngazi ya cheti..ni kada gani inayochukua ufaulu mkubwa kuliko zote
 
Hii ni kweli kwa asilimia mia moja, maanake wengi wao maisha yao ni ya kawaida na wanakotoka maisha ni ya kawaida
 
Back
Top Bottom