Walimu hawa wana mchango mkubwa katika maisha yetu

Walimu hawa wana mchango mkubwa katika maisha yetu

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,022
Hawa Watu kiukweli Hawatasahaulika kwa mchango wao mkubwa sana kwetu hasa upande wa advance level iwe direct au indirectly

Naomba nianze na wafuatao.

PHYSICS
√Mouddy physics (RIP)mzee wa tackle Questions
√Mgote Said physics
√Kiyombo
√Ally nani sijui
√Manchippa

CHEMISTRY
√Babangida
√Unga Chemistry
√Mkandàwile
√Jerry chemistry
√Mbuga

BIOS
√Mbuga
√Jerry

MATH
Hidden..

Aisee
Hawa watu wana Mchango Mkubwa sana Katika Maisha Yetu Mungu awasaidie Popote Walipo na awalaze mahali pema Peponi kwa waliotangulia .
 
Wenzako china hata advance hawajafika wanatengeneza mpaka simu , wewe mpaka chuo kikuu umefika hata kutengeneza kiberiti huwezi yet unawasifia walimu wako wa sayansi.
Huko mnafundishana history of science na si real science
 
Back
Top Bottom