Walim mmekumbukwa

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,349
1,011
INGIA INTERNET SASA HIVI Hayawi hayawi sasa yamekuwa,walio kataa kazi ya Ualimu sasa kilio kwao, Walimu kwao kicheko, posho mpya kwa Walimu wote yatangazwa, itakuwa kila tarehe 15 ya kila mwezi, imetangazwa na Rais katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi,Posho hiyo itakuwa ni laki moja na 40 mbali na Mshahara wako, hii ni kuanzia mwezi April mwaka huu,
Ni huko Nchini Mexico.
Ha ha ha!! Kwa Tanzania bado kidogo hadi wewe ustaafu.
 
Back
Top Bottom