Walikuwa wapi kumtaja Bashite badala ya Makonda

Walikuwa wapi kumtaja Bashite badala ya Makonda

Nyie ndio mnamwona makonda kama mchapakazi, kutujitambua ndiko kunamsumbua kutokuwa na vyite ndiko kulimpoteza mbona unamaswali ya kijinga walikuwa wapi kusema eti anaitwa bashite? Utatafutaje solution bila kuwa na tatizo?
Unapowadhihaki watu unapaswa kuwa msafi na mkamilifu!
Hivi kuropoka ndio kudhubutu ? kumbe hats vicha wanadhubutu, kama alitumia nafasi ya ukuu was mkoa kudhalirisha watu akome na nyie wenye akili kama zake mkome! utu was MTU wapaswa kulindwa! the only solution is to present his academic certificates!
 
mie naamini suala la vyeti kwa Bashite lilikuwa ni suala la muda tu. lisingefichika siku zote za uongozi wake
 
Kinachonifurahisha kwa makonda akisema kamaanisha, akisema hataki madawa na wahusika wanaanza kukamatwa palepale.

Akisema hataki biashara ya ngono kweli muda uleule dadapoa wanatiwa nguvuni.

Kingine anakutaarifu mapema kuwa anakuja lakini hatia atakukuta nayo tu sijui yukoje, alisema anaenda kumkamata wema kweli kaenda kamkamata na misokoto kakutwa nayo, ajabu sana.

Halafu yeyote aliyejaribu kupambana nae kaharibikiwa, ona yusuf manji hadi leo hoi, makengeza hajakanyaga dar sijui mwezi wa ngapi sasa. Akina kessy wanapaona dar kambi ya wasomali. Mola amtie nguvu huyu kijana.
Aisee!!!

Namkumbuka Al-Sahaf wa Iraq 😀😀😀😀😀
 
Mm pia nilikuwa najiuliza sana walikuwa wapi sku zote hizo, itakuwa wanayajua mengi lkn hawatak kutuambia??
Walikwa wapi siyo issue. Kuna muda wa kila jambo kutokea. Issue ni substance ya hicho wanachosema.

Umejaribu kujiuliza maswali hayo hayo kwa kila linalotokea?
Umejiuliza kwa nini Bashite hakutaja ile orodha yake mwaka jana, kwa mfano? Kwa nini kaitaja mwaka huu?
 
tatizo kawagusa wasiogusika... sasa kalianzisha wenzie wanaliendeleza.. bampa to bampa..!!!!
 
Back
Top Bottom