Walidhani wakiimaliza CHADEMA watabaki salama

Mwanaccm mwenye akili kama kikwete na Mimi pia anajua uhai wa upinzani na upinzani active ndio uhai wa urais na Chama chetu!!!

Upinzani ukiwa hai wanaccm tunakua wamoja zaidi ili kupambana nao,upinzani usipokuwepo itabidi wanaccm wenzetu wajigawe wawe wapinzani wa madaraka ndani ya chama hapo ndipo mtafutano na mauaji Plus figisu zinaua wanachama tawala!!

Ndicho kinachoenda kutokea hapa team nchimbi vs team Samia Hala Kuna team wazalendo wa Tanzania wanna wa zoom kwa mbali,matokeo yake DAMU DAMU DAMU DAMU DAMU.........

Kazi na utu,tusonge mbele bandugu!!!
 
Sio kwamba wanaset mambo ili mumuone nchimbi nae yupo na wananchi ili 2030 akishinda kwa asilimia 98 msiandamane.?

Sidhani kama itasaidia zaidi ya kuimarika kwa makundi ndani ya CCM na mchuano utakuwa mkali ndani kwa ndani
kumbuka viongozi wa juu wa CCM wapo muda mrefu serikalini na wana wafuasi wao na wengine wapo vitengo nyeti
 
Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.

Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura
 
Wameshindwa kuimaliza CHADEMA.. CDM Imeibuka na kuwa
Chama bora zaidi
Chenye nguvu zaidi
Chenye ushawishi zaidi
Chenye kupendwa zaidi
Wao wameguekana sasa.. Wanafitiana uwani na kuhitilafiana wazi wazi kabisa!
UTAWALA DHALIMU UMEFITINIKA🗑
Inafikirisha sana. Lakini naamini "malaika " ni mweupe na "**tani " ni mweusi.
 
Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.

Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura
Tujiandae kukaza mkanda, tufike pahala tupige magoti tutubu.
au kaka Mshana Jr hawa nao wanatuonea wivu?
 
Kamati za Mambo ya Nje na Maendeleo katika Bunge la Ulaya zimepiga kura kuitaka Kamisheni ya Umoja wa Ulaya kuondoa mpango wa utekelezaji wa kila mwaka (Development Assistance) kwa Tanzania.

Matokeo ya upigaji kura: 81 wameunga mkono 1 dhidi ya 4 ambao hawakupiga kura
Aisee mambo yanazidi kuwa magumu
 
Back
Top Bottom