Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini ๐.
Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti background apps ambazo umezifungua na huzitumi uwa wanaziweka kwenye Mfumo wa hibernate yani sleep mode ili kuweza kuhifadhi storage na betri.
Mtumiaji wa iphone ili haweze kuzifunga apps zote alizotumia kwenye Simu yako anapaswa Ku restart simu yake WAKATI kwa watumiaji wa Android yenyewe Iko button imeandikwa Clear All au Close All kuweza kuzifunga app zote ulizofungua bila kuzima au kuwasha simu yako.
Apple wana kauli yao wanaamini wanasema Kuzifunga apps kupitia Mfumo wa close all au clear all upelekea kuvuruga usimamizi wa kumbukumbu kwenye Mfumo wa simu yako na kufanya simu kufa haraka ๐.
Wanangu watumiaji wa Android mnasemaje hii kitu ?