Sasa Kama umeshaona hivyo so uache tu chuo!? Haya yote ya Nini! Shida unatafut hela ya kubet! Kupanga ni kuchagua!Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.
Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Ulikuwa unamaanisha usiku wa kuamkia leo, jana ilikuwa tarehe 28 na leo 29 inaishia hivyoKweli kafa usiku wa kuamkia jana
Yan usiku wa juma tatuUlikuwa unamaanisha usiku wa kuamkia leo, jana ilikuwa tarehe 28 na leo 29 inaishia hivyo
Ameshafariki jamani na ameshazikwa, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa anasoma naeSasa Kama umeshaona hivyo so uache tu chuo!? Haya yote ya Nini! Shida unatafut hela ya kubet! Kupanga ni kuchagua!
Ok, ni usiku wa kuamkia leo...sio jana kama ulivyoandikaYan usiku wa juma tatu
unaandika Nini!?Ameshafariki jamani na ameshazikwa, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa anasoma nae
I'm feeling well and I'm happyHow do you feel now?
Anywe ni uamuzi wake na uheshimu mkuuDuuu wewe ndiye umemkorogea hiyo sumu iliyochukua uhai wake?
Try to be sensitive just a little bit.I'm feeling well and I'm happy
Mimi simjui hata alishachoka ugali jamaniUmemchelewa,katangulia.hiyo sumu uliyokoroga inywe mwenyewe.
Hiyo ndiyo solution mzee?Kwa nini ulipe kodi ya nyumba 120000
SawaAnywe ni uamuzi wake na uheshimu mkuu
Mkuu Roho ya umauti ikishamvaa mtu huwa hakumbuki hayo yoteHivi naanzaje kujiua kwa maisha ya duniani yalivyo matamu, ata ukiwa jobless ni furaha tosha. Ukishindwa kujizuia mawazo mabaya ya akili ndo mwanzo wa kuferi maisha
R.I.P umom umemaliza siku zako za duniani
kuna mtu humu jf alikuwa anaitwa mayala B alikuwa anamjibu kama wewe unavyojibu marehem miguu ya kuku mwisho wa siku nayeye hatunae humuAnywe ni uamuzi wake na uheshimu mkuu
Kufa ni Jambo la kawaida uwe mwema, bubu, maskini tajiri Hilo ni tendo la asili ka kuzaliwa maandiko yanasema kuishi ni Kristo na kufa ni faida, so kifo huja tu kwa yoyote na Mimi nitakufa kazi yangu iliyonileta hapa duniani ikiisha nitarudi mavumbini na sio eti vile nime comments maoni yangu humu JF.kuna mtu humu jf alikuwa anaitwa mayala B alikuwa anamjibu kama wewe unavyojibu marehem miguu ya kuku mwisho wa siku nayeye hatunae humu
Sad that He is no more.Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Tuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
Tayari jamaa kaamua kumsindikiza Mzee MkapaUshasahau kunywa sumu tena?!
Mfyuuu usinipangie maisha Tena unikome na Uhuru wa kufanya nijisikiacho siwezi kuwa mnafiki wa nafsi yangu ili nikufuraishe wewe na wengine. Hafu msela mavi ni yeye mnafiki tu, by the way jamaa Uzi ulikuwa wa uongo na hajafa na hata angekufa kweli Mimi inanihusu Nini?Try to be sensitive just a little bit.
Achana na huu umwamba wa mitandaoni.In real life mtu ambaye ni suicidal hapaswi kusikia maneno kama uliyoandika hapa.Japo unataka kujifanya msela mavi sana.