Si bora niache tu?
Maisha wakati mwingine sio ya kuyachukulia serious, jamaa kaja hapa kulia akati nina rafiki angu alikua anapewa elfu 20 kwa mwezi and she tried to be happy.Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi
Somo la muhimu sana hili. Akilizingatia hili maishani na huko aendako baada ya kunywa hiyo sumu litamsaidia sana...Siku zote usiipigie mahesabu pesa ambayo haipo mikononi mwako...
Nadhani umenielewa kijana.