Hao ni makafir ngoja masalaba waje watoe povu
Hakuna kitu kibaya kama mtu kunyimwa akili. Wewe na mleta mada, wote mmekosa akili.
Mambo ya Yesu, hayawahusu ninyi waabudu shetani. Ninyi jadilini kuhusu Mungu wenu shetani ambaye Mudy amewaambia kuwa alimsilimisha.
Yesu Kristo ni nani haihitaji wewe au mtu mwingine yeyote aseme, YEYE Mwenyewe aliwajulisha mitume wake kwa kauli na matendo, kuwa ni nani.
Ni mwendawazimu pekee ndiye atasema eti Yesu alikufa kama wanavyokufa wanadamu.
Yesu, kuhusiana na kifo chake msalabani, alisema hivi:
Yohana10:17-18.
Nautoa uhai wangu ili niweze kuuchukua tena. Hakuna anayeweza kuuchukua uhai wangu kutoka kwangu. Nautoa uhai wangu kwa hiari yangu"
Kama umepewa hekima na akili ya kutosha, kauli hiyo tu inakufanya ujue Yesu ni nani, na utajua kuwa kumbe hata waliomwua aliwaruhusu, asingetaka, wala wasingeweza hata kumkamata.
Kumjua zaidi Yesu ni nani, soma:
Yohana 17:5.
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu."
Kwa kauli hiyo tu, mwente akili timamu atajua kuwa kumve kwa Yesu Kristo kuja Duniani, alikuwa amekubaliana na Baba wa Mbinguni kuwa auache utukufu kwanza, aje Ulimwenguni, auvae uwadamu ili awafundishe wanadamu.
Utakuwa mwendawazimu wa ajabu kuamini kuwa kuna mwanadamu aliwahi kuwa kwenye utukufu na Baba wa Mbinguni kabla ya Ulimwengu kuwako!
Wenye akili timamu na waliojaliwa neema ya Mungu wa kweli, wanajua kuwa:
1.Yesu alikuwako hata kabla ya Ulimwengu, akiwa kwenye utukufu pamoja na Baba wa Mbinguni.
2. Yesu alikuwako kabla haya ya Ibrahim na Musa.
3. Yesu Kristo ndiye pekee amjuaye Baba wa Mbinguni.
4. Yesu Kristo amepewa malaka yote, Duniani na mbinguni.
5. Yesu Kristo ndiye atakayekuja kuwahukumu wazima na wafu.
6. Yesu Kristo ni kitu kimoja na Baba wa Mbinguni (mimi ni ndani ya Baba na Baba Yu ndani yangu. Uminiona mimi umemwona Baba).
Hayo yote siyo maneno ya wanadamu, bali ni nukuu za Yesu Kristo mwenyewe.
Ukikosa akili na maarifa, unaweza kumkataa Kristo Yesu na Mungu kwa ujumla. Siku zote wanaomkataa Mungu wamekuwepo, hivyo wewe kumkataa Kristo Yesu,