Walevi wanajifariji sana

Watu wengi hawajui kuwa unafiki nao ni aina ya ulevi
 

Sasa msiokunywa mnajiona Jesus sana. Mnajifanya mnaijuuua Future utadhani nyie matajiri. Tusifokeane. Bila Pombe si ajabu usingezaliwa. Hebu kuwa na adabu.
 
Pombe imenifanya nijuane na watu makini wengi sana, imenipa wigo mpana sana wa connection na dili nyingi, bila pombe nisingekuwa na marafiki wengi tena wa muhimu ktk biashara zangu.

Hakika pombe imeniongezea marafiki siwezi kuiacha labda wachome mashamba ya ngano yote
 

Mkuu

Wakati nimepanga nyumba moja hivi, niliwahi kuambiwa na mama mwenye nyumba..."Huwezi kupata maendeleo kwa tabia hii ya kunywa pombe mara kwa mara..."

Sikumjibu

Leo hii, nikikumbuka maneno yake halafu nikijiangalia nilipo hanifikii hata robo.

Kila mtu ashinde mechi zake...tusipangiane maisha!
 


Aahhahhaaha mkuu sipati somrtymz notification..! Enjoy mkuu..ukija siku tukae Florida hapa round abt..chocho jipyaaa...sema halina wahudumu classic..wahudumu gan wamefunga vilemba Kama wainjilist
 
Ha ha ha umetisha bosi. Sisi kazi yetu ni kushauri tu. Uamuzi wa kuacha tuwaachie wao.
 
Bora umeliona kama mimi, watu kama hawa kazini upenda kujipendekeza na kuwachongea wengine.
Wana tabia za kishamba.
Wewe kenge, mimi sijaajiriwa mimi na kluuu langu ndio tumeajiri vijana kama wewe.

Tukiwapa ushauri msijifanye wajanja kuliko sisi kaka zenu.

Tumezaliwa hapa hapa mjini, tumewapokea hapa mjini, mnajifunza pombe tunawaona ila tukiwashauri mnatuita washamba.

Pole sana dogo!
 
Sawa. Endelea kunywa kwa raha zako!
 
Live and let live....acha kufuatilia mambo ya watu.



Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…