Walevi tupo makini kinoma!!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,538
Hakuna mtu makini kana sisi walevi wakati wa kuvuka barabara.... kwanza tunaangalia kushoto na kulia kama kuna magari/pikipiki tunaangalia juu kama kunadenge ...kisha tunaaangalia chini kama kuna mabomu yametegwa tunaangalia nyuma kama kunamtu anataka kutukaba tunashikilia Bia vizuri kwa umakini kisha tunavuka barabara kwa zigzag kukwepa risasi......‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
Mim si mlevi ila nimwahi siti ya mbele nisubir walev waje.
 
Walevi hata alewe vipi, kama ubongo wake toka awali beki zinakaba, mara nyingi ataamka ktk kitanda chake asubuhi kisha ndo anaanza kukagua milango kama ipo locked. Na kweli Hua hivyo isipokuwa atabaki anavuta memory ilikuwaje Jana.
 
Tukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
Umenithibitishia pasipo shaka kuwa wewe ni mlevi uliyekubuhu!
 
Imebaki simulizi mkuu, nilisha amua kwa dhati kabisa kupumzika pombeni..
Jasiri haachi asili nitakuja Ushirombo unipe mbinu zaidi za kuvuka barabara kubwa kama hizo za ubungo mataa maana ninampango wa kulitembelea jiji kongwe siku si nyingi
 
Tukumaliza kuvuka, kisha tuna jilamba midomo na kisha tunatema mate kushoto alafu tunayafukia hayo mate upande wa kilia, kabla ya kufumba macho na kikata mafundo kadhaa...... ndipo tunaendelea na safari
Nnachoshukuru ht nikilewa huwa makini sana!hii ni kulingana na kipindi naanza kulewa najikausha nisishtukiwe hom!yaani hata nilewe vp huwez kunijua nakauka siongei kbs
 
Mkuu, wewe tayari umesha haribu sifa yetu walevi.....
Mlevi haishi nyumbani kwao aiseeee.... , unakwama wapi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom