pombe ikiwa nyingi mwilini inafanya mwili utengeneze sana enzyme inayo convert alcohol kwenda aldehyde na kisha fatty acids na hivyo kumfanya mlevi awe na tolerance na large quantities za alcohol.Pombe ikiwa nyingi mwilini ubongo unapata habari na unapelekea mlevi kulala ili pombe isiingie tena mwilini. Hii ni body’s own defence mechanism.
Tupeni utalaam zaidi kuhusu Excessive drinkingpombe ikiwa nyingi mwilini inafanya mwili utengeneze sana enzyme inayo convert alcohol kwenda aldehyde na kisha fatty acids na hivyo kumfanya mlevi awe na tolerance na large quantities za alcohol.
nawasilisha
shida ya excessive drinking ni pale ini linapochoka kutengeneza enzyme ya kufanya convertion kwenda aldehyde na hivo kuleta toxicity mwilini. na pia fatty acids zikitengenezwa nyingi zinafanya ini lijae mafuta kwa kitaalam steatotic liver inayofanya ini kuwa gumu na kugoma kufanya kazi au kuleta cancerTupeni utalaam zaidi kuhusu Excessive drinking
Duhh ni hatari kwa watu tunaokesha tunakunywa mibia kwenye ma9t clubs,shida ya excessive drinking ni pale ini linapochoka kutengeneza enzyme ya kufanya convertion kwenda aldehyde na hivo kuleta toxicity mwilini. na pia fatty acids zikitengenezwa nyingi zinafanya ini lijae mafuta kwa kitaalam steatotic liver inayofanya ini kuwa gumu na kugoma kufanya kazi au kuleta cancer