Walevi ndio mafisadi wakubwa

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,022
10,658
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
 
Mimi nabisha mkuu weka ushahidi.
 
* tufe definition tusije kuwa tupo katika maongezi ya dimensions tofauti na wewe
 
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?
Ninavyojua ulevi ni tabia kuna aina nyingi sana za ulevi
ulevi wa wanawake mfano kuoa wake zaidi ya watano, umalaya nk
ulevi wa pombe na kujisahahu but kunywa pombe si lazima uwe mlevi
ulevi wa sigara
ulevi wa kukesha JF kama mimi
ulevi wa dini kama Kakobe nk nk.........
ni ulevi gani unaotaka kutuambia
 
Nafikiri hii thread haiko mahala pake, inafaa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la mahusiano/jokes/marafiki
 
Hata mimi nilikuwa na maana hiyo hiyo,ispokuwa sehemu ya tatu umejidanganya.Endelea..
 
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?

hehehe umenikumbusha kitambo, nilienda kuomba viza balozi moja ya nchi moja ya afrika(jina kabatini), balozi alikuwa kaweka kilaji choka mbaya, nilishtukia ananiuliza . KIJANA NIKUGONGEE VIZA AU UTAGONGA MWENYEWE?, ilikuwa kasheshe aisee
 
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?

according to your reasoning

tanzania haina uwajibikaji na ina malalamiko (Mishahara midogo, pensheni za wazee EAC, mikopo ya wanafunzi, barabara mbovo etc) kutokana na viongozi wetu, this is all because viongozi wetu hawana muda wa kufikiri wanapotoa maamuzi which is a result of ulevi na ufisadi.

MHHHHH inawezekana siwezi kubisha
 
Uzushi kabisa kabisa ina maana viongozi wanaoongoza Tanzania ni walevi? Mimi naona mada yako haina maana na huwajibikaji ktk Taifa. Kuna watu wanakunywa pombe na niwachapakazi kweli kweli na hhawana harufu ya UFISADI kabisa na mambo mengine mbalimbali. UFISADI ni hulka ya mtu haina uhusiano na ulevi.
 
Nafikiri hii thread haiko mahala pake, inafaa kwenye jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la mahusiano/jokes/marafiki

Hii mada hapa ndipo pake hasa na wala si jokes kama unavyoona wewe.
 
Mimi nabisha mkuu weka ushahidi.

Kabla sijatoa ushahidi wa matukio we fikiria chama fulani cha siasa timu yake ya kampeni haifikii hoteli za kawaida. Lazima wafikie na kulala kwenye mabaa.Hulewa usiku kucha.
Unafikiri wana lipi la kuwaambia waungwana wanapotoka hapo?Ni porojo za kilevi tu,kuwasikiliza ni kupoteza muda bure.
 
Ushadidi no.2

Chama kingine cha siasa ofisi yake upande wa nyuma imefunguliwa baa kubwa.Wajumbe wa mikutano huonekana wakiingia humo wakati wakisubiri vikao au wakati wa mapumziko.Hata wakubwa wao pia huingia humo.
Unadhani watajadili na kupanga nini wanapokutana,iwapo si mbinu chafu za kuwadhuru wenzao!.
Kwa namna hii nani atakuwa fisadi wa mwanzo kama si wao.
 
Wengine huita kitochi lakini ni ile ile pombe.
Ofisi moja inayoshughulika na mambo muhimu ya jamii imepakana na mtaa mzima ambao ni mabaa tu katika majina mbali mbali.
Ukifika ofisni karibu nusu ya milango ya maafisa wake imefungwa.Ukiuliza unaambiwa katoka....Baada ya muda wanaonekana wanatoka huko,ati walikwenda kunywa chai.
Kama una shida ofisini kwake jawabu maarufu njoo baadae au kesho.Nani fisadi mkubwa wa uchumi wa nchi?.
 
Tena saaana, hata akiwa m/kiti wa mtaa akiwa mlevi lazima atafanya ufisadi!
Asante sana dada yangu kwa kunielewa...Nataka nikueleze zaidi kuhusu wingi wa matuta ya barabarani.
Kila siku tunalalamika tujengewe barabara nzuri ili kuharakisha maendeleo.Utashangaa kuwa baada ya kuzijenga kwa gharama kubwa halafu tunaziharibu kwa kuzijengea matuta mpaka inakuwa kero kupita.Ukiangalia idadi kubwa ya wanaogongwa kupelekea kujengwa kwa matuta hayo, huwa ni walevi wakifuatiwa na watoto wasiokuwa na umadhubuti wa hali za barabara kutokana na udogo wao.
Niambie dada yangu; walevi huleta maendeleo au wanarudisha nyuma maendeleo?.
 
walevi huleta maendeleo au wanarudisha nyuma maendeleo?.

Mh viwanda vya beer vinachangia sana maendeleo ya taifa kwa kodi wanayolipa serikalini na ajira kwa watanzania, Usisahau fedha za kigeni kumbuka hata huku Pakstani tunapata safari larger
 
Ninavyojua ulevi ni tabia kuna aina nyingi sana za ulevi
ulevi wa wanawake mfano kuoa wake zaidi ya watano, umalaya nk
ulevi wa pombe na kujisahahu but kunywa pombe si lazima uwe mlevi
ulevi wa sigara
ulevi wa kukesha JF kama mimi
ulevi wa dini kama Kakobe nk nk.........
ni ulevi gani unaotaka kutuambia

Hahahaa! Nimevutiwa kugundua kuwa ukiwa na wake 3 (masuria/vimada sijui kama wanaangukia wapi) huo sio ulevi. Umedtumia kamusi ya TUKI wewe eeh! Lakini kama wanachangia pato la Mume wangu kama Da Sophym unaweza kuwa ulevi mzuri! Ni wazo tuu!!
 
Mh viwanda vya beer vinachangia sana maendeleo ya taifa kwa kodi wanayolipa serikalini na ajira kwa watanzania, Usisahau fedha za kigeni kumbuka hata huku Pakstani tunapata safari larger

Masanilo nilidhani kuwa na wewe ni great thinker,kumbe siye hata kidogo.

Umewahi kukusanya takwimu zozote juu ya pato la serikali kutokana na ulevi na hasara yake.Mimi pia bado, lakini nina uhakika kwamba ikiwa serikali hupata milioni 100 kama pato basi milioni 200 huwa ndiyo hasara yake kwa kutibu majeraha kutokana na ulevi.
Hasara hizo ni kama vile kukosa uzalishaji,kujenga miundo mbinu iliyovunjwa na walevi,kutibu ukimwi na kifua kikuu vitokanavyo na ulevi na kadhalika.Wachilia mbali kushughulika na kesi za kipuuzi zitokanazo na ulevi.
 
Back
Top Bottom