Fernandes Rodri
JF-Expert Member
- Apr 11, 2009
- 519
- 263
Kwa kweli bila ya maji ya pale barabara ya Uhuru mimi nisingeenda shule kufuta ujinga wa kusoma na kuandika, kodi nyingi inatoka pale na hizo barabara nzuri ni matokeo ya hicho kinywaji, jee wewe huoni raha kupita kwenye barabara ya lami? basi ujue kodi iliyojenga barabara hiyo inatokana na beer, acha tunywe . BEER THE GREATEST INVENTION IN THE WORLD SO FAR