Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Pole Sana, hata Mimi yaani jamaa kaa wiki 3 hajaship halafu nimekula hela ya watu. Hapa nipo natunga uwongo ili ni buy time mzigo ufike..maana juzi cancel shipment. Yaani wachina wasumbufu Sana.
 
Hapana! Kuna picha zimo kule hlf sikuzihamishia kwenda kweny email kabla haijaharibika..na zile picha siwez kuzipata tena hata iweje! Mi napenda pics sana..
Picha zinanifanya niingie gharama ya laki kadhaa..picha tuu
Kwani hukuwa na account ya Google photo?
Mimi kupitia hiyo app hadi picha za 2015 ninazo
Nimebadili simu kama 6 hivi
Ila picha nazikuta kule kwenye app ya G.photo
 
Kwani hukuwa na account ya Google photo?
Mimi kupitia hiyo app hadi picha za 2015 ninazo
Nimebadili simu kama 6 hivi
Ila picha nazikuta kule kwenye app ya G.photo
Nilikua nayo mkuu..ni baadhi ya pic za 2015 ninazo, hazikuingia zote mule mana nimeshachek..ndicho kinachonifanya nichomeke hela nizipate tu basiii!
 
Pole Sana, hata Mimi yaani jamaa kaa wiki 3 hajaship halafu nimekula hela ya watu. Hapa nipo natunga uwongo ili ni buy time mzigo ufike..maana juzi cancel shipment. Yaani wachina wasumbufu Sana.
Alikua seller gani huyo!?
 
Huyu seller anauza spy watch anaitwa Smartdog digital store. Yaani hawa wajeda sijui nawaambia nini.
Lakini si kashaship au bado mpaka leo

Tatizo kwenye kucancel Oda Ela inayorudishwa inakua pungufu na uliyotumia awali
 
Hajatuma, yaani seller anakupa track number halafu hatumi mzigo. Ogopa hiyo maana huwezi kabisa kufungua kesi. Mwisho ali cancel order. Yaani wiki 4 zimeenda. Nimemtukana Sana.

Hapa nasubiri refund ninunue Kwa seller Mwingine.
Lakini si kashaship au bado mpaka leo

Tatizo kwenye kucancel Oda Ela inayorudishwa inakua pungufu na uliyotumia awali
 
Hivi Kama simu ina fast charge 18w/4.0
Unaweza tumia adapter/wire yenye 24w/3.0
Labda inatakiwa iweje wadau AU 18W/4.0 zinatakiwa inatakiwa ipate kifaa chenye namba sawa?

Pia nimeona seller wengi Wanauza adapter za fast charge bila wire cable
Je unaweza tumia adapter ya fast charge Kwenye wire cable ya kawaida (na kinyume chake) na simu ikajaa haraka kama kawaida?

Kampuni gani ina fast charger nzuri?

Asanteni

chief-mkwawa

Mr. Mobile

Mwl.RCT
 
Ingia store ya ugreen,esseger au anker wako njema pia
 
Ingia store ya ugreen,esseger au anker wako njema pia
Essager nilichuku ile yenye port 3 moja ya fast charging ile port haikumaliza hata week ikafa haifanyi kazi kwasasa.
 
Attachments

  • IMG_20191020_090628.jpg
    IMG_20191020_090628.jpg
    15 KB · Views: 2
Back
Top Bottom