Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu mnanitisha kuniambia huyu MI FRANCE mbabaishaji, nataka niagize Mi 9t 128GB
Naona kwa AliExpress anazo yeye tu tena kwa bei nzuri
Sasa sijui nisiagize
 
Wakuu mpesa mastercard yangu ime expire, alafu naona dalili za kuwa refunded kuna seller ananizingua. Ina maana nitafungua mpesa master card mpya. Hapo refund yangu itakuwaje na kadi ya awali imekufa?
Mkuu usiwaze pesa yako, itaingia automatically kwenye Mpesa account pindi mastercard iki expire.
 
Ulimpataje nitunuku mie mwanzisha thread niimbe nae
Nimetuma msg nyingi nikamtusi, kuwa huo ni ujinga. Kwanini usitume mzigo wiki 3, leo hii katuma na status inasoma imewasilishwa kwenye airline. Alafu likajibu nitaangalia nijue tatizo lipo wapi? Nikamwambia sio tatizo lipo wapi uli create tracking no lakini huku ship order. Akajibu kwa kuchekaAkishakupatia tracking number huwezi open dispute. Hapo mpk siku 60 ziishe, akikukalia kimya inabdi ukomae tu no way. Hapa sijui mzigo utafika lini maana inakuja na china registered mail. Nimezoea Singapore huwa ni siku 14 tu tangu kupokelewa na airline
unacancel order na kutoa strong reason.
AE team watatrack na kumuuliza seller sababu ya tracking kutokuwa update na wakiona haeleweki unarudishiwa hela yako.
 
Mkuu hiki kipengele cha emergency sos kwa simu za xiaomi kinafanyaje kzi hebu nisaidie kunipa mwangaz kidogo

EMERGENCY SOS
Hapo unaweka namba za watu wako muhimu.
Pindi ukiwa na shida mfano kuvamiwa na majambazi, umepotea, au umetekwa na watu wasiojulikana, utabonyeza power button (kitufe cha kuzimia na kuwasha simu) mara 5. Zile namba zitatumiwa ujumbe kuwa upo hatarini na unahitaji msaada wa haraka, pia watatumiwa link ya location ulipo pamoja na contact ulizo wasiliana nazo mara ya mwisho.
 
Naona leo imekubali asee
IMG_20191019_084922.jpg
 
Nina samsung S5 imekufa display..ina mwaka sasa...nataka niagize vifaa vyake kimoja baada ya kimoja!
Hawa mafundi wanaliza sana kwa bei zao
 
Mbona nimekua nikijaribu naona inagoma nishamuad mtu kwa emergence sos ila kila kila nikijaribu kubonyeza kitufe cha kuzimia simu mara tano hainipi feedback yeyote
EMERGENCY SOS
Hapo unaweka namba za watu wako muhimu.
Pindi ukiwa na shida mfano kuvamiwa na majambazi, umepotea, au umetekwa na watu wasiojulikana, utabonyeza power button (kitufe cha kuzimia na kuwasha simu) mara 5. Zile namba zitatumiwa ujumbe kuwa upo hatarini na unahitaji msaada wa haraka, pia watatumiwa link ya location ulipo pamoja na contact ulizo wasiliana nazo mara ya mwisho.
 
Mbona nimekua nikijaribu naona inagoma nishamuad mtu kwa emergence sos ila kila kila nikijaribu kubonyeza kitufe cha kuzimia simu mara tano hainipi feedback yeyote
Mkuu feedback anapata mwenye number uliyo andika hapo. Na hakikisha setting iwe hivi.
 
Attachments

  • Screenshot_2019-10-19-10-39-53-834_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2019-10-19-10-39-53-834_com.android.settings.jpg
    53.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom