Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Na bahati mbaya inaweza kutokea kwangu au kwako so simply nunua tu. Sasa tusiponunua wale wafanyabiashara wa k/koo watamuuzia nani?
Kodi sio kiile Boss ila ni bahati mbaya tu wengi wanaagiza humu wakatwi kodi boss uoga wako tu.
 
Namba na jina la duka]
Wana Accessories zake boss au ni simu tu tupia namba nami PM nitimbe.
IMG_20190703_072212.jpeg
 
Hapo bado hujapiga kwenye night sight ndio balaa lingeibuka humu,au ungempiga mtu sasa..gcam shidaah
Hehe..yan mkuu kwa kusifia hiki kitu hujambo..bado naendelea kujipanga kikamilifu nibebe google pixel 3xl potelea mbali..hehe nijikaze kiume zaid ninyanyue google pixel 4XL inayotoka mwaka huu
 
Back
Top Bottom