Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu hiyo kitu balaa,,nashangaa watu wana note 7 humu hawajaiweka hadi sasa

Ukifanikiwa kupata hiyo pixel ndio utakua unemalza kazi mkuu,sema inabidi ujilipue kweli
Hehe..yan mkuu kwa kusifia hiki kitu hujambo..bado naendelea kujipanga kikamilifu nibebe google pixel 3xl potelea mbali..hehe nijikaze kiume zaid ninyanyue google pixel 4XL inayotoka mwaka huu
 
Redmi Note 6 pro
3 RAM 32GB
Nataka ni upgrade chuma bado kiko njema.
No scratch no Dents
Bei 400k
Ukihitaji PM nikupe namba maongezi yapo kidogo.
IMG_20190702_164256.jpg
IMG_20190702_164239.jpg
IMG_20190702_164328.jpg
IMG_20190702_164246.jpg
IMG_20190702_164311.jpg
 
Sikucheki mkuu ...tulisema uuze hiyo
Hahaaa redmi 7 ilivyosetewa hii lazima iuzwe kwa faida mbali na hapo mita kipanga kubadili simu mwakani July nikimaliza mkopo mzee baba au wakitupiana link hiyo nidownload ili nikae na kimeo mpaka mwisho .panapo majaliwa ninunue flag ship mjomba akitoka madarakani
 
Nina uhakika hiyo ni camera ya mbele....xiaomi wameteka watu na inazidi kuteka zaidi...angalia usimalize mtaji kweny simu mkuu
Duuuh wanavitu adimu xana mkuu yaani we acha tu mfano hiyo dark mode na second space Acha kabisa aisee.Alafu naset vipi data ziwe zinajiwasha na kujizima automatically
 
Sijaelewa hapa ebu elezea kidogo mkuu umeagiza hilo soko au umemuagiza mtu aliyekuwa india kaja nayo au kakutumia na kukutumia kiasi gani na inakuaje ebu funguka vizuri kama inawezekana maana aliexpress hazigusiki na pia hawatumi Tz hizo.
Wanatuma
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom