Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

HahahhahahahMkuu note 6pro au?kama ndiyo vipi ukaaji wa chaji Kwa matumizi ya wastani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unaweka moto usiku tu yaani haitoisha moto kiufupi utaweka moto ili ifike tu 100% boss it means utakuwa unacharge mida ya saa 8 usiku au saa 10 huku ikiwa ina charge si chini ya 30% inategemea ratiba zako unaamka na mizunguko yako inaanza mda gani
 
Mkuu kwa samsung yangu s5 ambayo haina utanisaidia vp asee
maana naona galaxy store only .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nakushauri tafuta hapa hapa TZ zipo nyingi tu! Tembelea kwa mafundi simu.
Ndugu hivi Inaweza ikatokea ukalipia simu ya xiaomi kwenye Store ya FANTANCY TECHNOLOGY lakini hadi siku 10 zinapita seller hajafanya shipping, kama jibu ndio
je ni kwanini hutokea hivyo, suruhisho ni nini?
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio ikiwa out of stock baadae anatuma ikifika anakutumia order yako wasiliana nae anajibu anakuelekeza fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…