Wale wote wanaotumia bidhaa kampuni ya INFINIX Hot 8 tukutane hapa tupeane ujanja

Nyanda lunduma

Senior Member
Apr 10, 2015
187
68
Natumai ni wazima was afya,

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni INFINIX tukutane tupeane utundu, ujanja wa Yale yaliyomo ndani ya simu hizi, binafsi natumia INFINIX HOT8 simu ipo vizuri sana.
KARIBUNI SANA.
images%20(2).jpeg
images (2).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa miezi michache niliyoitumia, haya ndio niliyayaona kwenye hii simu:-

Strength;

1. 4G yake iko fast, naenjoy nikiwa u-tube au live stream
2. Kukaa chaji mda mrefu (huwa nakereka kuchaji simu kila mara), ukiwa na hii simu hutaliona hili tatizo


Weakness;
1. Camera not good enough, udhaifu mkubwa wa camera nauona nikipiga picha na flash usiku haswa selfie haiwi clear kivile, yaani inazidiwa na Tecno Pavouir 2 niliyokuwaga nayo kabla ya hii, embarrassing

2. Keyboard inachelewa kupop-up haswa simu ikiwa na vitu vingi

3. Camera 3 zinazoonekana nyuma sioni matumizi yake, maana inayofanya kazi ni moja, sasa sijui waliziweka za nini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya infinix hasa zile smart 2 n.k ni camera , haipigi fresh iwe kwenye Giza au mwanga ukizoom image ina mapele mengi, haisapport movement unapopiga picha za kawaida. Ila video ziko poa

Mpaka uwe na stand
 
Nunua infinix,tecno na itel endapo una matatizo serious ya uchumi maana hizo ni sawa na redio zinazotumia Internet,huawei,iPhone,oppo,xiaomi kamwe hutajutia


Send using IPhone X
 
Nunua infinix,tecno na itel endapo una matatizo serious ya uchumi maana hizo ni sawa na redio zinazotumia Internet,huawei,iPhone,oppo,xiaomi kamwe hutajutia


Send using IPhone X

Sasa kuna bei za infix zinalingana na Samsung A series, OPPO, Xiaomi. Cha muhimu ni kushauri kununua brand tajwa
 
Back
Top Bottom