suala la uwepo wa kondomu kazini lisihusianishwe na kufanyika kwa mapenzi baina ya wafanyakazi waliopo mhala pa kazi. mtoa posti inaonesha kuwa ufahamu wa afua za ukimwi mahala pa kazi unakupiga chenga. kwa ufupi ni kwamba ili kuwarahisishia wafanyakazi wanaohitaji kondomu, kuna programu zinazowezesha uaptikanaji wa kondomu kazini kama ilivyo huduma za kupima, unasihi na elimu juu ya magonjwa na mabo mengine zinavyotolewa sehemu za kazi.
Aidha, kama mtu ni malaya haijalishi anafanya kazi au la atafanya tu. Kuhusisha kuajiliwa kwa wanawake na ngono kazini ni kutojiamini na ni mfumo dume.