Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,121
Kuna watu wa hovyo sana wanatumia na wengi wameoa.Kwamba zinaisha haraka😀
Kuna watu wa hovyo sana wanatumia na wengi wameoa.Kwamba zinaisha haraka😀
Basi ni hatari wakifika nyumbani wamechoka😀Kuna watu wa hovyo sana wanatumia na wengi wameoa.
We ndo hujui kabisa mwanamke yeyote akishakubali kufanya zinaa na kuvua nguo matumizi ya kodom ni juu ya mwanaumeMwanamke mwenyekipato kazini uwezekano wa kuwa na msimamo wa kutokumbw* ovyoovyo ni mkubwa kuliko golikipa wako nyumbani! Pili, mwanamke mwenye kipato hata akichepuka uwezekano wa kufanya ngono salama ni mkubwa kuliko golikipa wako nyumbani ambaye ni rahisi kukuletea gono na kaswende kwasababu wanaomshobokea ni masikini!