jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 379
- 1,304
WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution
fanya hivi
1. Kama bebe š wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga
2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako kutoka kwa mtu yoyote yule
3. Ukimaliza ishu zako piga hvi ili kutoa #33*0000# hapo uta disable hiyo call bairing na line yako itarudi hewani
HII PIA NI USEFUL KWA WALE WA
1. ONLINE GAMING (E football, dream league, PUBG , Free fire
2. Wanachuo wanataka kufocus mda wa kusoma
Leo bhn kuna mtu kanifata kaniambia jamaika nisaidie me mtu wa nyumba nyingi alfu wanapenda kukagua simu nifanyaje kublock jau nitashtukiwa atapiga kwa namba nyingine me nikacheka š