Kuna kamoja tulikaa siti moja kwenye hiace,kaka niuliza eti "kaka samahani unayafahamu maduka wanayo uza material ya kutengenezea sabuni za chooni hapa mjini.. Nika mjibu ndiyo, kakasema nataka kesho nifuate naomba namba yako ,nika mpa, saa kuminambili kananitumie text ati unafanya nini ? Nika mjibu nafua kakasema nije nikufulie =my love= nika mwambia njoo, akasema na mwogopa wifi , nika mwambia hayupo. Kakaniuliza nishukie wapi?nika mwelekeza . Baada ya dakika kadhaa mtu kaja..hakuna cha kufua wala material ya sabuni, ni kuniita tu majina mara ,love, hone, mara ametokea kunipenda. Abarikiwe mtaalamu alie gundua condoms, . Chupuchupu huyu demu alo nitongoza ni mwoe sema tu alikwenda nursing, ila huyu manzi tume dumu kwenye mahusiano kuliko mamanzi nilio wahi kuwa tongoza. MPaka sasa akiwa likizo lazima aje.. Field zote mkoani kwangu. Manze tufuteni dhana ya manzi akikutongoza ana kisasi au kahaba au gono,