Huu unyunyu kipind npo home nlkuwa nampiga mzee usku napulizia then nKunja nguo ya shule frxh , nikifika school unyama ni mwingi watoto wapo nyumaNani ashawahi kuitumia hii? View attachment 1491711
Kaka jambazi hii kashfa na dini za watu.Nikionaga mtu anazungumzia udi, nahisi ni wale wanaofugaga majini ambao wao huyaita "Majini wazuri".