Wale wapenzi wa Perfume/Body Spray, tukutane hapa

Blue 4Men,25,000/= tu inadumu kwenye nguo zaidi ya masaa 24 ni vile sirudii nguo navaa mara moja but nahisi inaweza kusogea zaidi ya hapo.

Mwaka wa kumi na sita huu naitumia but nilishawahi kujaribu kuibadilisha ila sijapata mbadala wake,kingine ajabu ya perfumes anaweza kutumia aina hii mwenzako ukaisikia harufu yake ilivyo nzuri then aina hiyo hiyo ukaitumia wewe ukahisi harufu tofauti kabisa.
Nipe 5 huu mzigo naukubali Sana
 
Nilianza na body spry inaitwa Bellagio lakin nikaachana nayo bada ya kupata manzi mmoja aliyekuwa anatumia perfume moja inaitwa Alfares nikaipenda sana na mi nikaanza kuitumia hii nayo ni nzuri sana inakaa muda mrefu, nilipoachana na yule demu baada ya kuniletea mazongezonge sasa hivi natumia body spry inaitwa Global Man iko poa sana kwa upande wangu......

Hata na nyinginezo nimepitapita nazo kama hiyo Dolby, nikatumia inaitwa black silver, nikatumia inaitwa na nyinginezo nyiiingi nimezisahau lakini zilizo bora kwangu ni hizo tatu za juu
Global man ni new version ya Aisimyake back in those days when Aisimi was aisimi daaaahhhh
Umenikumbusha mbali kinoma mkuu baasi tu,
Nilikuwanga msingo so nikiwakatia madem, wanakula fare b4 nimnoki baby mama juu tu ako kwa area hizi.
 
61EfPy6gaEL._SS400_.jpg
quality and cheap
 
Wapi wanapima mzee baba. Tupeane chimbo watu wageni kabisa kwenye perfume.
wacheck awa intagram na wegineo wengi
hawa wanabei nzuri sana

Login • Instagram bei za hawa ni nzuri kiasi
 
Back
Top Bottom