Wale wapenzi wa nyimbo za taratibu tujumuike pamoja hapa

Hyungnim

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
301
482
Taratibu pasi fujo nimejituliza chini ya mparachichi wenye kivuli,jagi la maji ya vuguvugu li pembeni.Nayagida huku nikisindikizwa na burudani murua toka kwa Tony braxton.Nimeanza na hizi:

*unbreak my heart

*I wish
karibuni wazee jama tuambiane burudani za taratibu u/mpatazo.
 
•labrinth ft emeli sande_beneath your beautiful
•mariah carey_i still believe
•elton john_Believe
•michael bolton_ soul provider
•michael jackson ft 3T_i need you
•shreya ghoshal_jaadu hai nasha hai
•enrique iglesias_ el pederdo
•craig david_ unbelievable
•rihanna ft mikky ekko_ stay
•nimekuchagua wewe (banana zorro version)
 
Naanza kunyoosha Kidole kwanza.



82254471-hand-with-finger-held-up-gettyimages.jpg
 
Back
Top Bottom