Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

berserk sijaisoma, sijaangalia....

mwingine saitama
Berserk naipenda sana sana sana.
Kinachonifanya nimpende guts ni maisha aliyopitia, alaf hana uwezo wowote wa ajabu, his strength anapata kwa kufanya mazoezi tuu, hana extraordinary abilities kama Goku na Luffy.
 
IMG_20231105_001017_529.jpg

"Attack on Titan" has Ended.
 
Haihusiani na action

Ila zangu ni Initial D
Na wangan midnight
 
Back
Top Bottom