Wale Wanasimba SC Wanafiki kama Haji Manara na mliokuwa mkimtetea wakati wenye Akili tulishamshtukia mnahama nae au?

Huyu mpuuzi bora hata angeenda zake Azam huko! Ila siyo Yanga. Alitukejeli sana mpuuzi mmoja yule enzi akiwa ni mbwatukaji wa mbumbumbi fc.

Mbaya zaidi, madongo yake yot yalikua yanapiga kwenye mfupa!! Halafu eti leo ni "mwenzetu"!! Wacha tuitwe tu utopolo! Kwa hiki kitendo cha kumkaribisha Haji Manara, kimedhihirisha baadhi ya viongozi wa Yanga wana ubongo wa kuku.
Wamezingua sana.
 
Noma sana

E9nT3E8X0AMg2Kq.jpeg
 
Huyu mpuuzi bora hata angeenda zake Azam huko! Ila siyo Yanga. Alitukejeli sana mpuuzi mmoja yule enzi akiwa ni mbwatukaji wa mbumbumbi fc.

Mbaya zaidi, madongo yake yot yalikua yanapiga kwenye mfupa!! Halafu eti leo ni "mwenzetu"!! Wacha tuitwe tu utopolo! Kwa hiki kitendo cha kumkaribisha Haji Manara, kimedhihirisha baadhi ya viongozi wa Yanga wana ubongo wa kuku.

U T O P O L O
 
Sikutegemea kitu kama hiki kinaweza kutokea.Mpenzi wa Simba ahamie Yanga au wa Yanga kuhamia Simba? Manara atakuwa na roho tofauti sana.
Ni opportunist bila shaka. Kwake, fedha ndiyo kila kitu! Utu na heshima yake, vinafuatia.
 
Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye leo tumegeuka kuwa ni Mashujaa na huenda hata tunastahili Tuzo za Heshima.

Haya wale wana Simba SC Wanafiki na mliokuwa mkimtetea mno Haji Manara na Kunishambulia / Kutushambulia tuliomshtukia mapema Usaliti wake na Kumkataa je, nanyi Leo hii mtahama nae huko huko Yanga SC au mtabakia Simba SC huku mkipigia Saluti zote The Iron Lady CEO Madame Barbara Gonzalez kwa Ushujaa wake wa Kimafia dhidi ya huyu Mwendawazimu na Mpumbavu?
Ni kweli kabisa na kuna mtu anaitwa Gentamycin nae alitukanwa sana humu baada ya kumshtukia yule kirusi,, asee kumbe ni kweli kabisa yule alikuwa ni nyoka.
 
Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.
Kama kweli una akili timamu,naomba unijibu hili swali hapo chini.

Baada ya Manara kufukuzwa Simba Sc kea tuhuma za usaliti, ulitegemea akae bila kazi Ili uonyeshe mapenzi yake kwa Simba Sc ambayo ilishaonyesha kudharau utumishi wake kwa miaka yote ile?

Ikiwa angeamua kukaa bila kazi Ili akuridhishe wewe na mashabiki wengine wachawi kama wewe, ungewajibika kuihudumia familia yake kwa miaka yote?

Ukifatilia kwa makini, mashabiki wengi wa Simba Sc walitaka jamaa aadhirike Ili waendelee kumcheka, kinachowauma sio yeye kwenda Yanga kinachowauma ni yeye kupata chaka jingine ilihali mlitaka awe ahehae kwakua mliamini kuwa Simba Sc ndo kila kitu kwake.
 
Kutoka Twitter ya mtangazaji mahiri wa michezo Tanzania Shaffih Dauda, kuhusu Haji Manara na wapenzi wa soka Tz, "Wale waliompenda Haji, tayari yupo Yanga na wale wanaoipenda Simba basi yenyewe ipo na itaendelea kuwepo, Mjifunze sana kuupenda mpira kisha timu, mkipenda watu watawashangaza sana"
 
Mbona wachezaji,makocha,viongozi wanahama?Kwanini isiwe manara?Kama aliyekuwa CEO wa Simba yuko Yanga,inakuwaje ajabu kwa msemaji?
Kikubwa maslahi,mpira ni fedha!
Hapo hakuna cha usaliti wala nini,ni jambo la kawaida kwenyw mpira!
 
We mpuuzi sana..Nijibu nilivyokuuliza kulingana na ulivyosema, hakuna anayepinga Haji kufanya kazi Taasisi nyingine kwa weledi na misingi ya kazi, ila je alivyokuwa anafanya kazi, Azam, Simba, GSM

Ni sawa tu kufanya kazi Vodacom, Tigo, Airtel?
Nyie ndio Rage alikuwa anawazungumzia. Huduma aliyekuwa anaitoa kwa Simba ni tofauti na huduma alizokuwa anazitoa kwenye hayo makumpuni mengine. Simba alikuwa msemaji wa club huko kwingine alikuwa siyo msemaji ila kutangaza biashara zao.
Kwa wenye akili huwa wanafanya hivi, kama hawataki mfanyakazi wao afanye kazi na wapinzani wao, sharti hili huliweka kwenye mkataba wa ajira na saa nyingine huvuka kuwa hata akiacha baada ya miaka flan hatafanya kazi na wapinzani wa mwajiri husika.
Simba haikuwa na sharti la hivi, hivyo ukisikia mtu anasema Haji kakiuka maadili, huyo hajitambui.
 
Kama kweli una akili timamu,naomba unijibu hili swali hapo chini.

Baada ya Manara kufukuzwa Simba Sc kea tuhuma za usaliti, ulitegemea akae bila kazi Ili uonyeshe mapenzi yake kwa Simba Sc ambayo ilishaonyesha kudharau utumishi wake kwa miaka yote ile?

Ikiwa angeamua kukaa bila kazi Ili akuridhishe wewe na mashabiki wengine wachawi kama wewe, ungewajibika kuihudumia familia yake kwa miaka yote?

Ukifatilia kwa makini, mashabiki wengi wa Simba Sc walitaka jamaa aadhirike Ili waendelee kumcheka, kinachowauma sio yeye kwenda Yanga kinachowauma ni yeye kupata chaka jingine ilihali mlitaka awe ahehae kwakua mliamini kuwa Simba Sc ndo kila kitu kwake.
Hawa watu ni wajinga sana, yaani walitegemea Haji asifanye kazi tena baada ya kufukuzwa hapo Simba!!.Halafu mjini aishije?
 
Nilitukanwa na Kudhihakiwa mno hapa JamiiForums nilipokuwa nikimsema Haji Manara na Usaliti wake mpaka kuitwa chawa wa Mo Dewji na Barbara Gonzalez sasa leo nahitaji mniombe Radhi na ikiwezekana huko huko mlipo tu mnipigie Saluti yangu kwa Maono yangu makali na yaliyotimia Jana kwa Mwendawazimu na Mpumbavu kuhamia rasmi Yanga SC.
Upigiwe saluti kwa huu ujinga wako? Manara kwenda kufanya kazi Yanga ndio inathibitisha kua alikua anaisaliti Simba? tumia akili japo kidogo ili usiendelee kujidharaulisha hapa,

Ulitaka akae tu bila kazi? Mpira ni pesa,Messi kaenda PSG kwa pesa,Luis Figo alitoka Barcelona kwenda Madrid kwa pesa,

Dogo tafuta hela bila kuogopa kusemwa na watu au watu watakuchukuliaje! usiishi kwa kutaka kumfurahisha kila mtu,hutoweza.
 
Back
Top Bottom