Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 168
- 254
Nauliza hivi kuna uwezekano wa mimi kurejesha deni la kwanza la 22.8K na kukopa 40K??.
Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga
Vyuma vimebanana hatari,naomba kwa watumiaji wa tala mnipe mwanga