Wale wanaotumia TALA

Yap inawezekana mimi nilikopa first 20k then wakanipa 50k
Na sasa nipo kwenye 140k
Screenshot_20181207-131210.jpeg
 
Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
 
Mimi nilisha haribu kote siyo tala branch Voda Togo majanga nikunganisha madeni yanafika 140,000 nilichelewesha sasa sina vigezo tena
lipa kidogo kidogo haujapoteza kigezo ila utapunguziwa kiwango cha kukopa kutoka cha juu hadi cha chini...jitahidi ulipe
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom