Wale wanaojipanga Kutowapa Kura CCM Simu zao Zikizimwa waje hapa

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu
Heri ya Mwaka mpya naomba kutokana na usumbufu wa NIDA hawa jamaa kutotoa namba au vitambulisho kwa wakati andika Maneno “ Hapana Kura CCM” ili kuonesha kutoridhishwa na zoezi zima la kutoa vitambulisho vya taifa tuone ni kura wangapi watapoteza ili tuwaadhibu kwenye sanduku la kura.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi wameshanizimia kabisa kabla ya siku maalumu,Lazima niunge mkono juhudi za mheshimiwa jiwe na sisihemu Yake na jenerali taratibu kwa kupiga kula ya ndio Mzee kwenye mtiani Wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom