ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #21
ladyfurahia
mi umeniacha hoi,
ndoa zenyewe ni za mchana tu hapa kwenye key board
usiku ni mambo mengine tu mrembo wangu,
Take care.
[h=1]Yakobo 4[/h]1.Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu?[FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif] 2 .[/FONT]Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi kupata. Mwafanya vita na kupigana, wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi! 3 .Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.hautaomba mkate ukapewa jiwe..Tuyaombayo ndiyo tutakayopokea
ni kweli ulichonena ndugu mpendwa umenitouch ile mbaya ubarikiwe
heee! sasa nitake care kivipi? au naota kwa swala hilo jamani mbona ndoa yangu ni originale na iko kidigitale kabisa mpendwa
Zion Daughter
kumbe anazuga tu na mwenyewe ni mwenye ndoa!
au ndo aliporwa,
Mwambie ukiporwa unajiuguza kimya kimya then
utapata tu mwingine.
Yakobo 4
1.Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu, katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu? 2 .Mwatamani, wala hamna kitu, mwaua na kuona wivu, wala hamwezi kupata. Mwafanya vita na kupigana, wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi! 3 .Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu.
Zion Daughter
kumbe anazuga tu na mwenyewe ni mwenye ndoa!
au ndo aliporwa,
Mwambie ukiporwa unajiuguza kimya kimya then
utapata tu mwingine.
mhm! huyo Baba V kweli anaweza hiyo kazi mbona alikimbia pale mambo yalipokuwa makubwa jamani?
Ndoa yangu iilipita kwa Askofu Filipo na msaidizi wake Mtambuzi kwahiyo katika sheria ya KATIBA ya CC ipo na ila labda hatukuitambulisha kwa mwongoza ibada Baba V, nitapeleka kile cheti cha ndoa akione na atie saini yake pale kama takubali akikataa atakuwa na kijiba cha roho
si ndo uitake care
au ulichaachia ngazi.
Laiti mngelijua kuwa tunavyoshibana na kupendana na mume wangu Mentor msingesema hivyo siwezi kuporwa na mtu yeyote mie hapa kafika na kaoza kabisa haambiwi chochote labda atokee mtu hapa alete ugomvi ambao nimesema haupendezi kabisa
Mungu ni mwema kila wakati!!Amen.Mungu ni mwema..Roho mtakatifu atuongoze tuombe ipasavyo na tupokee apendavyo Mungu..Haleluya
Umeona eeh!! Huyu ladyfurahia anatuzuga hapa..Sijui anagombana na nani anayetaka kumpora mumewe..
Sio vizuri hivo jamani...
Mungu ni mwema kila wakati!!Amen.
Teh teh!Sawa bana tumekupata...Lakn kwa ushahidi tutamtafuta Nicas Mtei na mmeo Mentor.umenielewa vibaya naona unakoenda si kuzuri sijagombana na mtu yeyote humu ndani labda huyo mtu agombane nami lakini mm ni mtu poa sana mkitaka kujua habari zangu mwambie Nicas Mtei na mume wangu wao wanajua zaidi kabisa,
Tuelekeze mwenyewe .Huyu Nicas Mtei sie tutamuona wapi?.Unasali wapi?Ukienda tuombee AMANI binafsi ya MOYONI kwa kila mwanachitchat..mie binafsi sitaweza kuja lakn labda ntapita siku nyingine..hapa mmefanya jambo la busara kinachotakiwa ni KUMWOMBA MUNGU TU ATUONDOLEE MAGOMVI YA WENYEWE KWA WENYEWE karibuni kanisani kwetu tuna maombi leo na leo ninaimba pale jioni saa 11:30 mwambieni Nicas Mtei awaelekeze hapo
jamani usiondoke nimefurahia uwepo wako kama ni hivyo oky nakutakia kila la kheri uko uendako ila usinisahau katika ufalme wako bro, ya kwangu utakula talaka kwani imezungushiwa na ulinzi wa Mungu wa kutosha wewe mwambie Mentor atakwambia tunavyoishi sisi kama tuko mbinguni vile wakati tuko hapahapa, be blessed
Aahahahaaaa.Hapo kwenye red ni utratra..kwani Mamdenyi ni SHE au HE AU shemale?nakutakia kila la kheri uko uendako ila usinisahau katika ufalme wako bro, ya kwangu utakula talaka kwani imezungushiwa na ulinzi wa Mungu wa kutosha wewe mwambie Mentor atakwambia tunavyoishi sisi kama tuko mbinguni vile wakati tuko hapahapa