wale wa zanzibar nipokeeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wale wa zanzibar nipokeeni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lukansola, Jul 11, 2012.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  leo asubuhi nimetua zanzibar, wenyeji nipokeeni. niambieni wapi nijirushe baada ya mishemishe zangu, pia niambieni mtandao gani wa simu uko poa, maana naona voda zero, tigo zero, zantel yenyewe hoi kwani nyie mnafanyaje kuhusu mawasiliano kwa sasa niko maisara baadaye nakwenda fumba. hebu nipeni maujanja
   
 2. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  safari njema ila mie sio wa zenji
   
 3. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Me natarajia kuja zenji kesho 4 field ila mgeni. Vp guest za bei chee zpo strt gan?
   
 4. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Jaman hebu tutafutane kwani nami ndio nimeingia znz muda si mrefu
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Haloo!
  Cheichei !
  Mie siko Znz , but nakuonea raha na gere!
  Namie napatamani ajabu , sema tu nauli sina o/wise ningekurupuka nikaja Zenji .
  Afu eti Zanzibar na Unguja wapi mbali kama watokea Dar ?
   
Loading...