RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,858
Habari wakuu, nimechaguliwa UDSM, na nimeona kozi yangu ipo kwenye collage ya CONAS, sasa naomba kwa anayejua atufahamishe changamoto za udsm, vp garama kama hostel zikoje, huduma ya maji na chakula vikoje chuoni apo, na utaratibu gan unatumiwa kupanga wanafunzi katka hostel za mabibo na main campus? na anaye jua garama za registration uchukua kam TSH. NGAPI, wakuu msaada tafadhari