tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,139
Kijana kama umechaguliwa conas kasome sana aisee,pale wana departmental GPA,so ucje ukaenda kujilinganisha na wenzio wa coss au udbs mkaenda kushnda pale TBS kushangaa wanawake.
ha ha ha habari ya TBS umenikumbusha mbali, pale safi sana kwa kuondolea stress!!