Sio mbaya tukijuana tuliochaguliwa udom, mi binafsi nitakua CoES petroleum engineering
Kama kawa tuko pamoja mimi pia CoES Mining Engineering
mm nipo CIVE .....compter engineering
hongereni sana vijana kwa kuwa selected udom,its very nice university!!msalimieni sana prof mlacha
Sio mbaya tukijuana tuliochaguliwa udom, mi binafsi nitakua CoES petroleum engineering
Oyo mnaonaje tukiunda umoja wetu . Tunaupa jina la JF UDOM. Tutautumia kupeana support kwa mambo mbalimbali, studies na maisha ya kawaida. Guys itasaidia sana kwa sababu wengi tunaenda huko hatumjui mtu.
Kama wazo zuri basi tutumie thread hii kupanga mikakati.
NAWASILISHA.