Habari wana Jamvi, mimi ninaomba msaada nilijiunga Na UDOM mwaka 2021/2022 lakini kwa changamoto fulani nikashindwa kuendelea na Masomo nika postpone nikarudi mtaani sasa nimepata Scholarship nataka kurudi kuendelea na chuo je kuanzia mwaka wa masomo 2021/2022 hadi sasa 2023/2024 bado nitakua valid student wa UDOM au nifanye application tena? Lakini UDOM SR2 yangu hadi sasa naweza ku access. Wapo waloniambia nakua Valid kwa miaka miwili tangu ku postpone lakini barua ya Kukubaliwa ku postpone inanichanganya inaonesha ilikua lazima nirudi mwaka ule ule wa masomo 2021/2022.
Naombeni msaada wakuu
View attachment 2684759View attachment 2684758
Naombeni msaada wakuu
View attachment 2684759View attachment 2684758