Wale wa UDOM

Wale wa UDOM

hongereni vjana me pale niliuwa project planng managmt n' commnt dvlpmnt

Niliweka 1st na vigezo ninavyo tena vya ushindani maajabu TCU wamenitosa then wamekuja kutoa available slots za kumwaga. Dah nipewa PSPA
 
Aiseee kumbe tuko wengi hivi???? hebu wazoefu na wenyeji wa chuo mtupe michakato inakuaje kuanzia campus life,accommodation, opening day, usafiri na vinginevyo
 
yap!yap!yap!wadau wa UDOM niaje mazee?aisee me nitakuwa CoEd,pursuing Bachelor of Ed. with ICT
 
Aiseee kumbe tuko wengi hivi???? hebu wazoefu na wenyeji wa chuo mtupe michakato inakuaje kuanzia campus life,accommodation, opening day, usafiri na vinginevyo

udom kupo pouwa, full accomadation to all studentxs, usafiri ni wa uhakika kwenda na kurudi town, openining day hakuna cha maana sana ila we wahi tu ukafanye registration mapema. Mambo mengine nitawajulisha kadili muda unavyokwenda c unajua tena sisi ndo ma legend pale!
 
Tunashukuru kwa kutu tia moyo mkuu!! tunakutegemea kwa taarifa zaidi
 
Tunashukuru kwa kutu tia moyo mkuu!! tunakutegemea kwa taarifa zaidi

then kama kuna mambo ya malipo ukishapata joining instruction waweza lipia pia kwenu maana mkifungua container linajaa hivyo kunakuwa na mambo ya folen kubwa.
 
Chezea UDOM Nyie.....Undeni umoja wenu mkifika huko mtapotezana tu. Joining fuateni wenyewe, ukiisubiri utachina hapo kwenu. kwa anaetaka maelezo zaidi anipm nimpe updates za huko muendako.
 
nimechaguliwa barchelor of science in physics(CNMS) udom. Kwa anayefaham hii kit inalpa au ndo kuishia ualimu
 
hahaa ebwana tuko pamoko hapo CoES petroleum engineering, una info za intake yetu ni ya ngapi kwa petroleum engi'?
 
Back
Top Bottom