Jaman me mpaka xaiz cjajua nmechaguliwa wapi, somebody help me please
Asante
Madent wa teku mna2angusha sana au ndo mnasubiri tcu mpate uwakika je na wale second na third achen hizo mi nipo udom...
Madent wa teku mna2angusha sana au ndo mnasubiri tcu mpate uwakika je na wale second na third achen hizo mi nipo udom...
Jamani hawa ni jirani zangu hasaaaaa,karibuni tugawane baridi la Mbeya
Mi nipo MUST
watu mpaka sasa hivi hawajapewa pesa yao ya filed kwa sasa ya poor management ya chuo,afu ww unang'ang'ania kwenda pale,duuuu utajutia
hakupenda kwnda pale ila MATOKEO ndio yamemfanya haende pale
Acha kushusha hadhi za watu...kuna jamaa'ngu ana 2:12 akaaply daculty zake za kibeto za udsm,mzumbe lkn bahat mbaya hakuaprove eligibility tcu ikamtema then akafany 2nd round application ambapo akakuta utamu wote umeisha...basi ikambidi ajaze TEKU..n
Karibun in da green city coz elimu yetu ile o
ile hata usome wap kuzunguka na vyetii ndo kawaida yetuuu